Ooh baba Usinipe wazimu nikashindwa kulala Na tena Uchachu kama ndimu kila siku hasira Mapenzi kama safari Baridi utelezi bado tupo pamoja Mwenzio nimezama Usisikie mapendo unafanya vioja Mwenzako mtumwa Na kwa yako mapenzi natumikia Nione huruma Usije kuniacha ukanikimbia Usinikimbie (vibaya) Usinikimbie ayaa (vibaya) Usinikimbie (vibaya) Usinikimbie ayaa (vibaya) Ooh Yako mengi sana yakusikia Sina maana utaambiwa Kicheche kinoma Sikupi mapenzi eti mimi nakuibia Unajua mapenzi ni kuridhia Nakupenda asilimia mia Usinipe homa Nitapata simanzi machozi kulia lia Mwenzako mtumwa Yako mapenzi natumikia Nione huruma Usije kuniacha ukanikimbia Usinikimbie (vibaya) Usinikimbie ayaa (vibaya) Usinikimbie (vibaya) Usinikimbie ayaa (vibaya) Ooh Mwenzako mtumwa Mtumwa wee Nione huruma Huruma wee Nitadataa (vibaya) Nitadataa (vibaya) Nitadataa eehey (vibaya) Nitadata usinikimbie (vibaya) Usinikimbie Mwenzako mtumwa