Eh Mungu baba simamisha dunia nishuke Kama na kufuru nimechoka mapenzi niache Baba naganga mama naganga Nahagaika kuzichanga Sina kiwanja sina kitanda uongo huu Mimi ni simba yeye ni yanga Yanini vibweka na vimbwanga Eeh Mungu baba ninakuomba nisaidi eh Ahh mi mpaka nashanga Au kachoka daga Maana vibwekabweka vimezidi Oh jipu tumbuka usaa Shibe shake ukaja Kila siku visa visa vinazidi ii Maji njoo maji njoo Njoo ninawe mikono Penzi laa sikitiko Bora lifike ki-komo, aah Ana nikomoa (ananikomoa) Hadai risitii yee (ananikomoa) Oh, baby Ana ni komoa (ananikomoa) Ooh nimechoka sitaki yeye (ananikomoa) Ananidharau, ananiacha hoi (hoi) Anajisahau ananiona toi (toi) Mwenzenu mateso daily ninapata shida Kupenda napenda ila napoteza muda (Muda muda aah eeeh, aah eh) Ahh mi mpaka nashanga Au kachoka daga Maana vibwekabweka vimezidi Oh jipu tumbuka usaa Shibe shake ukaja Kila siku visa visa vinazidi ii Maji njoo maji njoo Njoo ninawe mikono Penzi laa sikitiko Bora lifike ki-komo, aah Ana nikomoa (ananikomoa) Hadai risitii yee (ananikomoa) Oh, baby Ana ni komoa (ananikomoa) Ooh nimechoka sitaki yeye (ananikomoa)