Wa leo mimi wa leo Wa leo sio wa jana Aslay Maisha ndo yale yale Aah kuteswa ni kama funzo Mmmh mengine tuyasamehe Ooh tusiweke viulizo Kikubwa uhai Nashukuru ninao sijakufa Ila kuhusu mapenzi sitaki show Nimeyakuta Kukesha kesha mawazo mzongo Sitaki tena kupigana pigana naogopa chongo Sitaki tena mlemavu akichoka anipa magongo Sitaki tena kutwa kulia lia kutapika nyongo Mapenzi yana wenyewe Si wengine tuwache shobo Tutazikwa wazima wazima Eeh eeh eeh Bora nitulie Umri wangu mi bado mdogo Nisitake ya watu wazima Naenjoy, naenjoy mama Naenjoy, naenjoy sana Naenjoy japo kuwa sina kitu Naenjoy mama Ooh naenjoy, naenjoy sana Nakukumbatia mtafuna roho yake Asikwambie mtu, mtu yeyote Ah, jamani shuka zina joto lake Asikwambie mtu, kitu chochote Kugandana gandana Kuzuga tunapendana Mwisho twaaza kuulizana Sitaki Mila sizitaki nyama Kupenda nimesimama Moyo wangu umegoma Hautaki ng'o Kukesha kesha mawazo mzongo Sitaki tena kupigana pigana naogopa chongo Sitaki tena mlemavu akichoka anipa magongo Sitaki tena kutwa kulia lia kutapika nyongo Mapenzi yana wenyewe Si wengine tuwache shobo Tutazikwa wazima wazima Eeh eeh eeh Bora nitulie Umri wangu mi bado mdogo Nisitake ya watu wazima Naenjoy, naenjoy mama Naenjoy, naenjoy sana Naenjoy japo kuwa sina kitu Naenjoy mama Ooh naenjoy, naenjoy sana