La, la, la, la, la Pole pole baby wangu Uchungu ndo umekushika eeh! Basi pole mpenzi wangu Twende lebe ukajifungue Linanitoka chozi langu Kuona unapiga kelele Mi namuaomba baba Mungu Salama uweze ujifungue Umenikumbuska mbali sana (sana aah) Nimemkumbuka mama (mama aah) Kumbe alipata tabu sana (sana aah) Kunizaa mwana (mwana) Subira nilisubiri kakupata wewe Nilivyokupata kakupa mimba ili unizalie Na leo nasubiri unitolee Jikaze nu mpenzi mungu yuko na wewe akusimamie eeh! Totoa totoa mama A shamba ashanipa mimi Totoa totoa mama Nasubiri kuvuna Totoa totoa mama Mwendo mwangu my dear Totoa totoa mama Oh! Mungu alonijalia Ukijifungua dume ntachinja jogo Ukijifungua jike ntalichinja koo Ukiniletea mapachaa ntachinja kondoo Ila hata ukikosa mi bado ni wako Uhm! Kapambane na matusi Wanayotoa manesi Wewe usiwe mbishi Jikaze, eeh! Tena uwape nafasi Huduma upate kasi Baby usie mbishi jikaze Umenikumbusha mbali sana (sana aah!) Nimemkumbuka mama (mama aah!) Kumbe alipata tabu sana (sana aah!) Kunizaa mwana (mwana aah!) Subira nilisubiri nkakupata wewe Nilivyokupata nkakupa mimba ili unizalie Na leo nasubiri unitotole Jikaze mpenzi mungu yuko na wewe Akusi mamie eeh! Totoa totoa mama A shamba ashanipa mimi Totoa totoa mama Nasubiri kuvuna Totoa totoa mama Mwendo mwangu my dear Totoa totoa mama Oh! Mungu alonijalia Totoa totoa mama Huenda akawa moza wangu Totoa totoa mama Ama isiaa ka Totoa totoa mama Totoa mama Huenda akawa chambuso Totoa totoa mama Huenda akawa sheko Iye yeye yeye yeyeyeyeyeyeh Uhoo wowo wowo wo wooh Totoa mama, totoa Totoa mama toto ooh Oohoo, eh!