(Ayolizer) Nah nah nah nah, aah Kama tatizo pesa, niko radhi kuiba (aah) Kwako niseme nini nawe wangu swahiba (aah) Mtoto mwendo wa jongoo amejawa ghaiba Kutwa juba swala tano, akulinde Kalima aah Nampa chini ya tikiti Nami ndo parachichi Leo umenasa madichi Penzi twalichokocha Masaji ya asali mbichi Maji mixer ya hiliki Michezo samasoti Dodo nimeokota Baby wacha nibembee Kwa penzi lako nibembee Nimefika kikomo nibembee Kwa vyako vinono, nibembee nibembee Mmmh majagala chini, nibembee Hebu jipinde kwa chini, nibembee Kwako nitake nini tena, nibembee Wacha, nibembee nibembee Aii mimi Aii mimi Vocha yako dhamani Ya kipato changu kidogo Anivumiliaga Kwa vidogo salary Ye mtunza vya ndani Nnje kuvitoaga mwiko Penzi sangara shombo Kubishana ni kawaida Beiby we ndo maji kisima Sharti uiname (teke teke) Zamu ya kwako mazima Msumari nishindilie (teke teke) Kwako nitake nini tena? Unavyoikunja mzima mzima (iweke iweke) Visa visa vina Hadharani washuhudie (iweke iweke) Nampa chini ya tikiti Nami ndo parachichi Leo umenasa madichi Penzi twalichokocha Masaji ya asali mbichi Maji mixer ya hiliki Michezo samasoti Dodo nimeokota Baby wacha nibembee Kwa penzi lako nibembee Nimefika kikomo nibembee Kwa vyako vinono, nibembee nibembee Mmmh majagala chini, nibembee Hebu jipinde kwa chini, nibembee Kwako nitake nini tena, nibembee Wacha, nibembee nibembee, nibembee Aii mimi, aha Nah nah nah nah, nah Mtoto kapakwa msiwasili, nibembee Danga na vuti, nibembee ooh niseme nini, nibembee Nibembee, nibembee, nibembee Classic!