Mmh (Ayo Lizer) Mi kwako sikuingia miguu Mikono hadi kichwa Kiufupi mazima Nikiamini wa kufa kuzikana Yaani hoi sio nafuu Mututi kabisa hata mashaka sina Ukiamini Utatengwa na Maulana Mvumilivu hula mbivu Nimengoja mpaka zikaoza Naambulia maumivu Ningali sina wa kunipoza Sijui yangu stahimilivu Kunyenyekea waniponza Napambania utulivu Mwezangu chuki unaikoza Sikukufuta tu machozi Ulipolia nililia na wewe Sasa mbona wanilipa majonzi Yaani stress mapombe mi nilewe We ndo wangu Yesu Mkombozi Sa mbona Petro unaniacha mwenyewe Nikose usingizi na njozi Ndo ufurahi okay sawa Si unataka nitukanwe Ongeza ongeza bado Nidhalilike Ongeza ongeza bado Nikose pa kuificha sura Ongeza ongeza bado Marafiki wanicheke, waning'onge ada Ongeza ongeza bado Mmh kisichokuua hukukomaza Ati ikiwa sikani huo msemo nakataa Maana jua linapoangaza na sina afadhali Mi kwangu ni mabalaa Ooh najitahidi kumsinga mwali Ila somo ananikataa Ooh penzi letu si la kibatari Anayamwaga mafuta taa Kutwa ni vurugu ndani Purukushani hapakaliki Roho inaniuma yaani Kwanini sa tunagombana sweetie Ooh njema gani Niambie labda nitende kipi? (Aah) Hata pa kucheka hunnie Ati utani unapanic Naelewa riziki mafungu saba Na la kwangu sita Naelewa sikutoshi labda Kukuridhisha Sikukufuta tu machozi Ulipolia nililia na wewe Sasa mbona wanilipa majonzi Yaani stress mapombe mi nilewe We ndo wangu Yesu Mkombozi Sa mbona Petro unaniacha mwenyewe Nikose usingizi na njozi Ndo ufurahi okay sawa Si unataka nitukanwe Ongeza ongeza bado Nidhalilike Ongeza ongeza bado Nikose pa kuificha sura Ongeza ongeza bado Ndugu jamaa wanicheke, waning'onge ada Ongeza ongeza bado Aah nikose pa kuificha sura Waning'onge ada (Wasafi)