Ooh waiteee Kumekucha jamaa Nishafanya yake mnyama Ooh kumekucha jamaa Nishafanya ya Aga waambie simba Simba kiboko yao Waambie wekundu wa msimbazi Simba kiboko yao Ooh taifa kubwa Simba kiboko yao Ooh this is simba Simba kiboko yao Ona Manara anacheza Anashangilia ushindi umekuja Moh anaruka ruka Anashangilia ushindi umekuja Yule dada anakata Anashangilia ushindi umekuja Wahuni wanaruka ruka Anashangilia ushindi umekuja Na tutamfunga yeyote atakaye kaa mbele Si wanawashwa tutawakuna upele Chenga na pasi ndio zetu kama mbele Ooh magoli mashuti kama Pele Wataweza wapi jamaa? Wakwende zao Kushindana na mnyama, Wakwende zao Ooh wataweza wapi jamaa? Kushindana na msimanzi Aga nasema simba Simba kiboko yao Waambie wekundu wa msimbazi Simba kiboko yao Haina mpinzani Simba kiboko yao Ooh mabingwa wa nchi Simba kiboko yao Ah wanachama wanacheza Wanashangilia ushindi umekuja Mashabiki wanaruka ruka Wanashangilia ushindi umekuja Ooh nguvu moja Wanashangilia ushindi umekuja Hadi wale wanaruka ruka Wanashangilia ushindi umekuja Oya mnyama anakula ham! Mnyama anang'ata ham! Oya mnyama anakula ham! Mnyama anang'ata ham! Anawatafuna ham! Anawameza ham! Anawatafuna ham! Anawameza ham! Eeh kidedea! Eeh kidedea! Eeh kidedea! Eeh kidedea! Napenda Simba mi shabiki wa damu Napenda Simba mi shabiki wa damu Mi mwenzenu shabiki wa damu Napenda Simba mi shabiki wa damu Nani baba wanangu nani baba? Simba! Nani baba wanangu nani baba? Simba! Nani bingwa wa nchi nani bingwa? Simba! Nani bingwa wa nchi nani bingwa? Simba! Kama unapenda Simba puliza Vuvuzela Eeh kama unapenda Simba peperusha bendera Ah kama unapenda Simba puliza Vuvuzela basi Kama unaipenda Simba peperusha Asa twende, peperusha bendera Wanangu bendera Nione bendera, waonyeshe bendera Nyekundu bendera, nyeupe bendera Ya simba bendera Humo humo Waitee, aah Waambie hii ndo timu Yenye mashabiki wengi East Africa Na yenye makombe mengi East Africa and Central Iliyofanya vizuri zaidi kwenye mashindano Makubwa Africa kuliko club yeyote Na ati ndo kufunga yeyote Watoto wa Mfibwazi Bado sijaskia, miluzi Sijaskia milio Wanangu miluzi nisikie milio Wa kule miluzi wa huku milio Nisikie miluzi wanangu milio Eeh kidedea! Eeh kidedea! Eeh kidedea! Eeh kidedea!