Wasafi Mmh (Wasafi Records) Mmh Mujini kipenzi silani shilingi baby Kupendana zamani ndo wanavyosemaga Wazuri ni wengi ila uongo mwingi baby Wakishaviona vya ndani basi wanakumwaga Ndo maana ah Ukichelewa dukani mie kamoyo kananidundaga Nawaza asije mangi jirani akakuonga kilo ya unga aah Ooh, ooh Mbaya zaidi sina kazi nakosa senti tano ya kipande Bora nikuweke wazi yanini nikufiche Gambe Tumeumbiwa shida maradhi Ndo chanzo mpaka wengi wadande Niweke wazi nikipi kinafanya unipende Niambie Tell me baby love Ooh basi niambie Vipi unanipenda ingali sina doo Niambie Ooh basi niambie (ooh basi niambie) Tell me baby love Usije nitenda ukaniumiza roho Hhhm, aiy Siku hizi magari ya wakongo mapesa mara nyumba mbezi Usinichanganye na ubongo nidate kisa mapenzi Sijakuwekea Ndumba Umenipendea rhumba Vipi nikija kudunda ooh, ooh Usije mgezea Punda Ukaniachia Ngunga Wanakumendea Chunga ooh, ooh Mbaya zaidi sina kazi nakosa senti tano ya kipande Bora nikuweke wazi ya nini nikufiche Gambe Tumeumbiwa shida maradhi Ndo chanzo mpaka wengi wadande Niweke wazi ni kipi kinafanya unipende Niambie (tell me) Tell me baby love (tell me) Ooh basi niambie Vipi unanipenda ingali sina doo (tell me) Niambie Ooh Basi niambie (tell me ooh basi niambie) Tell me baby love Usije nitenda ukaniumiza roho Umenipendea ah (kipi mama) Pendea ah (basi sema) Umenipendea ah (umenipenda nini ingali sina doo) Pendea ah Umenipendea ah (tell me baby love) Pendea ah (oh basi niambie) Umenipendea ah (umenipenda ingali sina yeyeaa) Pendea ah Ayo Lizer Hehehe, mwendo kasi