Konde Boy I want to keep you, I no got let you Nishafunga na zipu, kwingine nishasema no Acha nikusifu, uzuri wa nyumba choo Naulivyo nadhifu, sipati vidonda vya koo If you leave me I go die I go die my baby Na ukinipenda nitajidai Nitajidai my baby Ooh, nakoma na zako Kachiri kachiri, ukibinuka binuka Eeeh, kivumbi na jasho Wawili wawili, kwenye mashuka mashuka Asa baby, niite (uniteke, unitekenye) Nicheke kama mtoto (uniteke, aah baby nitekenye) Apo ndo penye (uniteke, unitekenye) Ninenepe kama mpoto, noo (uniteke, aah baby nitekenye) Macho yake lungu lungu akinitazama Nami nageuka nungu nungu, miiba inasimama Macho yake lungu lungu akinitazama Nami nageuka nungu nungu, miiba inasimama Eeh fanya wazi unachotaka Zidisha kunipenda Ila kuna paparazzi na Basata Tusichapane madenda Ooh, nakoma na zako Kachiri kachiri, ukibinuka binuka Eeeh, kivumbi na jasho Wawili wawili, kwenye mashuka mashuka Asa baby, niite (uniteke, unitekenye) Nicheke kama mtoto (uniteke, aah baby nitekenye) Apo ndo penye (uniteke, unitekenye) Ninenepe kama mpoto, noo (uniteke, aah baby nitekenye) Asa baby, mi nataka nikukande (Pindaa, pinda mgongo pinda) Yaani pinda nikukande (Pindaa, pinda mgongo pinda) Unishikilie, nami nikugande (Pindaa, pinda mgongo pinda) Aah pinda pinda mgongo Ebu nipe nikukande (Pindaa, pinda mgongo pinda) Yaani nikukandee (chii chii)