Pole pole usiniibie penzi ya habibi Mwanzo mwisho nitabaki na wewe kipenzi Gimme gimme love my baby, touch me like this Everyday I feel faith kuwa nawe yeyeye You got me up high Unanipa kile nataka nafurahi, yeah Uwatoe nishai Wote waliotaka mi nawe tuachane And I feel alive Ulikuwa wapi all the time Mpenzi usiogope fame Dunia yetu mi na we Tuwe wote kila sehem, yeah ye ye I wanna be your main chick, nakupenda I wanna be your main chick, nakupenda Oh let me be the main chick, nakupenda I wanna be your main chick, nakupenda Penda oh ya Nakupa jina wendo mume wangu We ni nyongo mkalia ini langu Nafsi yangu imeridhia, sitokimbia Nitazikwa nawewe Pole pole usini nyime penzi laazizi Tujinome raha ya mapenzi tufurahi You got me up high Unanipa kile nataka nafurahi, yeah Uwatoe nishai Wote walotaka mi nawe tuachane And I feel alive Ulikuwa wapi all the time Mpenzi usiogope fame Dunia yetu mi na we Tuwe wote kila sehem, yeah ye ye I wanna be your main chick, nakupenda I wanna be your main chick, nakupenda Oh let me be the main chick, nakupenda I wanna be your main chick, nakupenda Penda oh ya