Kama penzi maruani pandaaa nikuaguee Kilingeni nipige manyanga kitatuliee Likishapanda nilivike tajii Jini la mapenziii usivunje nazii Kama kichanga nibembelezee, mmh Soba ya mapenzi dawa nimeze Usisome riwaya hadidhi wakaipata Penzi mbio za vijiti kupokezana usije nikacha Usisome riwaya hadidhi wakaipata Penzi mbio za vijiti kupokezana usije nikacha (Aah nigandee) Utamu wako naujua miee (Aah nigandee) Usiniache nishikiliee Wanini msumari me puto nitapasukaeeeh ahaa Ndani mambo shwari sitaki ruka ruka eeeh ahaa Kitambaa nifute jasho tupendane leo kesho ooh Nifukize manukato, ooh, ooh eeeh Njee sitotoa chako ooh, acha wanile kwa macho ooh Zabi zabi tumbo joto ooh, ooh Usisome riwaya hadidhi wakaipata Penzi mbio za vijiti kupokezana usije nikacha Usisome riwaya hadidhi wakaipata Penzi mbio za vijiti kupokezana usije nikacha (Aah nigandee) Utamu wako naujua miee (Aah nigandee) Usiniache nishikiliee