Neym Nilikufuata huku nalia ah Kutaka wako msamaha baby Ila we ukanichunia ah Si ulitaka mi ni dead (iih) Ulitingisha kiberiti tititi tititi Mi ndo nisha ku delete tititi tititi Niko gado niko fiti tititi tititi Eeh nadundika tititi tititi Nasema ushachukua noma Niache toka hapa eh, eh kwenda weh Niache toka hapa We bwana ushachukua noma Niache toka hapa eh, eh toka weh Niache toka hapa Kulikoni weh usinipigie simu Niko zangu na bebi unatukata stimu Jieshimu weh usijitie ndimu Hebu niache kidogo napewa vitu adimu Nabembelezwa kama Marlow (Marlow) Nami nampikia masalooh Dume la shoka si baro baro (baro) Nami nampitisha kwa mtaro Ulitingisha kiberiti tititi tititi Mi ndo nisha ku delete tititi tititi Niko gado niko fiti tititi tititi Eeh nadundika tititi tititi Nasema ushachukua noma Niache toka hapa eh, eh kwenda weh Niache toka hapa We bwana ushachukua noma Niache toka hapa eh, eh toka weh Niache toka hapa