Ooh, ooh Hey yeii yeah Sukari imegeuka chumvi Aka amegeuka chui Matope yamekuwanga vumbi Maziwa yamegeuka tui Upendo na baba ni kwa zamani Siku hizi kufa kufaana Upendo hauna dhamani, hey Upendo na mama mama mama ni kwa zamani Siku hizi kufa kufaana Upendo hauna dhamani Dunia ina raha yake iyee Na mabaya yamo humo Na visanga vyake iyee Na mabaya yamo humo Ukifika nenda mwambie Dakika moja tu Mimi nataka niongee naye Dakika moja tu Akichelewa nitasubiri Nitangoja tu Ila nataka niongee naye Dakika moja tu Naona kama me nachomwa na jua Usiku mkali, na maradhi naugua Unanichanganya, navyo sema nazingua Kisasi na salary, me nawaza nawazua Aah, si ulikubali, kwa kila hali baba Leo mwisho wa safari, unarudi nyuma baba Si ulikubali, kwa kila hali baba Leo mwisho wa safari, unarudi nyuma baba Hee, dunia ina raha yake iyee Na mabaya yamo humo Na visanga vyake Na mabaya yamo humo Ukifika nenda mwambie Dakika moja tu Mimi nataka niongee naye Dakika moja tu Akichelewa nitasubiri Nitangoja tu Ila nataka niongee naye Dakika moja tu Mwambie azibe nyufa Akichelewa nitakufa Hey Sawa sawa, sawa sawa Sawa sawa, sawa sawa Sawa sawa, sawa sawa Sawa sawa, sawa sawa