Oh oh oh
Alijipatia amevaa suti na tai kali
Ametamka anaenda kutafuta mashilingi
Na kumbe mbele majaribu na mipango mikali
Alirejea kama hana kitu mfukoni
Akaangaliwa na huzuni na watoto wake
Akawaimbia wimbo na kuwahimiza Mungu yupo:
Wamechimba shimo niingie, wataingia wenyewe
Wameweka mitego nipitie, sitapitia
Watapitia wenyewe
Tegua tegua mitego waloniwekea
Pangua pangua mipango walonipangia
Baba najua una nguvu ya kupangua mitego
Ile imewekwa ili niaibike
Baba najua una uwezo mwingi
Naweka imani kwako
Natazama bingu nakuona Paulo na Sila
Natazama bingu nakuona mtumishi Stephano
Natazama bingu nakuona baba Yusufu
Natazama bingu naah
Wamechimba shimo niingie, wataingia wenyewe
Wameweka mitego nipitie, sitapitia
Watapitia wenyewe
Tegua tegua mitego waloniwekea
Pangua pangua mipango walonipangia
Tegua tegua
Pangua pangua
Wamechimba shimo niingie, wataingia wenyewe
Wameweka mitego nipitie, watapitia wenyewe
Tegua tegua mitego waloniwekea
Pangua pangua mipango walonipangia
Mais de 15 cursos com aulas exclusivas, materiais didáticos e exercícios por R$49,90/mês.
Tenha acesso a benefícios exclusivos no App e no Site
Chega de anúncios
Mais recursos no app do Afinador
Atendimento Prioritário
Aumente seu limite de lista
Ajude a produzir mais conteúdo