Uuh umeni murder
Nimeishiwa na pozi mie
Nmekosa mada
Nabaki uh kutwa kukuwaza
Tamu usijegeuka shubiri
Moyo utaukwaza (aah eeh)
Wewe ndo jike langu la kopa
Mimi ndo dume lako la shupaza
Na uliko ni mbali njoo
Kabla kiza hakijatanda
Ulimi kama nyoka mwendo wa kinyonga
Macho ya kudondoka eeh
Nyonga mkalia ini ndimi mkata shombo
Wewe dada umeniweza eh
Ulimi kama nyoka mwendo wa kinyonga
Macho ya kudondoka eeh
Nyonga mkalia ini ndimi mkata shombo
Wewe dada umeniweza
Mbona unachelewa
Mbona unachelewa
Mbona unachelewa
Chelewa, chelewa
Mbona unachelewa
Jua linazama
Moyo wangu unapwetapweta
Jini kisirani amepata nafasi
Stress za mapenzi zanilemea
Najaribu jidanganya (jidanganya)
Kuku kwa foleni nakaribia
Mimi bila wewe kama bwege
Sina lolote
Oh, baby baby I need ya
Jaribu kwendaga na mida
Ukinipa vyote barida
Njoo nikudakishe na show (oh, baby)
Ulimi kama nyoka mwendo wa kinyonga
Macho ya kudondoka eeh
Nyonga mkalia ini ndimi mkata shombo
Wewe dada umeniweza
Ulimi kama nyoka mwendo wa kinyonga
Macho ya kudondoka eeh
Nyonga mkalia ini ndimi mkata shombo
Wewe dada umeniweza
Mbona unachelewa
Mbona unachelewa
Mbona unachelewa
Chelewa, chelewa
Mbona unachelewa (ooh baby)
Mais de 15 cursos com aulas exclusivas, materiais didáticos e exercícios por R$49,90/mês.
Tenha acesso a benefícios exclusivos no App e no Site
Chega de anúncios
Mais recursos no app do Afinador
Atendimento Prioritário
Aumente seu limite de lista
Ajude a produzir mais conteúdo