Mazuu on the beat, records
Uuuh uuh uuh uuh
Yale maneno matamu nikafikiri nyota njema
Mara asubuhi asubuhi moyoni
Akumiminia yale ya sumu ulikusudia kunichoma
Ingali sijui sijui kisa nini
Nimeamini penzi penzi zigo la mwiba
Ishanichoma na kunipofua moyo (moyo)
Bila ye siwezi mwenzenu napata shida
Amani sina kinauma kidonda changu
Kitachelewa (uuh uuh uuh)
Kupona kitachelewa chelewa (uuh uuh uuh)
Sema kitachelewa sweety
Jamani kidonda changu
Kitachelewa (uuh uuh uuh)
Kupona kitachelewa chelewa (uuh uuh uuh)
Sema kitachelewa sweety
Yarabbi moyo wangu
Yale mahaba ninyonge
Nitaya miss sana (siunajua)
Unafanya nikonde
Shilingi sina (ningenunua)
Umenipora ata tonge
Ingali shibe sina (utaniua)
Ningekunywaga na pombe
Ila kichwa sina (nitazimia)
Nimeamini penzi
Penzi zigo la mwiba
Ishanichoma
Na kunipofua (moyo moyo)
Bila ye siwezi
Mwenzenu napata shida
Amani sina ninaugulia
Kidonda changu
Kitachelewa (uuh uuh uh)
Kupona kitachelewa chelewa (kidonda changu)
Sema kitachelewa sweety
Jamani kidonda changu
Kitachelewa (uuh uuh uuh)
Kupona kitachelewa chelewa (uuh uuh uuh)
Sema kitachelewa sweety
Yarabbi moyo wangu
Mmh! Tena sipati usingizi (ai moyo, ai moyo)
Ata kula siwezi (ai moyo, ai moyo)
Niruhusu niwe chizi (ai moyo, ai moyo)
Yote kisa mapenzi (ai moyo, ai moyo)
Mazuuu record's, Maximizer
Harmonize baby
Mais de 15 cursos com aulas exclusivas, materiais didáticos e exercícios por R$49,90/mês.
Tenha acesso a benefícios exclusivos no App e no Site
Chega de anúncios
Mais recursos no app do Afinador
Atendimento Prioritário
Aumente seu limite de lista
Ajude a produzir mais conteúdo