Hata kama penzi maji masafi
Niacheni ninanawa
Maana yamenifika, yamenifika hapa
Ingawa nitakonda
Nimeridhia sawa
Maana kila dakika, mi huwa kilioni
Kukikucha macho juu
Nakesha kulilia penzi
Kama kina nauguza mama eeh, mama eeh
Hapo shida sio heshima tu
Hata wanamuingia wengi
Mwenzenu kupenda kashakata tamaa eeh, tamaa eeh
Ooh acha ikabaki ikawa historia
Japo sio kiroho safi
Ya nini kung'ang'ania biashara, tena yenye hasara
Na wala sisemi nitakuchukia
Japo moyo hautaki
Ya nini kung'ang'Ana ng'ang'Ana
Inatosha, inatosha
Inatosha, inatosha
Inatosha, inatosha
Ni kwamba moyo mashine
Nina imani nitapoa
Hii hali siyo ya kudumu, nina imani nitapoa
Ni kwamba tumeumbwa kusahau
Nina imani nitasahau
Hii hali siyo ya kudumu, nitakusahau
Kama kukupinga si ilishindikana
Sawa, sina chaguo
Maana japo, itanisumbua sumbua
Itani umbua umbua
Mchanga kwenye kitumbua, tumbua
Kwenye kitumbua, tumbua
Ooh acha ikabaki ikawa historia
Japo sio kiroho safi
Ya nini kung'ang'ania biashara, tena yenye hasara
Na wala sisemi nitakuchukia
Japo moyo hautaki
Ya nini kung'ang'Ana ng'ang'Ana
Inatosha, acha nipambane na hali yangu
Inatosha, aah mapenzi ya kupendwa, kushaka basi
Inatosha, mmh utaniniua
Inatosha, mmh utaniua, mwenzako mie inatosha
Mais de 15 cursos com aulas exclusivas, materiais didáticos e exercícios por R$49,90/mês.
Tenha acesso a benefícios exclusivos no App e no Site
Chega de anúncios
Mais recursos no app do Afinador
Atendimento Prioritário
Aumente seu limite de lista
Ajude a produzir mais conteúdo
Enquanto isso, fique por dentro das novidades!
Facebook CifraClub