Na spend muda na vavangaa
Najinadii kumbe wenzangu wana rambaa (eboo)
Kila kitu unatambaa
Wajigamba wanionaa (dugagambaa)
Nilipoteza mudaa, na ukaringaaa
Ukaniona mjingaa
Na umeharibu mipangoo
Nini spend muda kuwa chinii
Ili nikuwin umenitupaa ngamboo
Kukupenda sababuu
Moyo umeupa maumivuu
Hata bila sababuu
Moyo umeupa ghazabuu
Kukupenda ndo sababuu wanipelekaa
Kutakuta wanipelekaaa
Kukupenda ndo wanipelekaaa
Kutakuta wanipelekaaa eeh
Tuachane mdogo mdogo
Na me nikwache mdogo mdodo
Ya nini marambanoo na zogoo
Tuachane mdogo mdodo
Tuachane mdogo mdogo na me
Nikwache mdogo mdodo
Ya nini marambanoo na zogoo
Tuachane mdogo mdodo
Nahisi nimeonewa eeh
Kwa haya nilifanyiwa eeh
Penzi langu bembea eeh
Wamebembea wenginee
Shimo mwenyewe nilichimba
Ndo linalonizika najiuliza kwanini
Mapenzi yote nilimpaa
Angalia kulizika baada ya nyama ye akaleta mainii
Kukupenda sababuu
Moyo umeupa maumivuu
Hata bila sababuu moyo umeupa ghazabu
Kukupenda sababuu
Moyo umeupa maumivuu
Hata bila sababuu
Moyo umeupa ghazabuu
Kukupenda ndo sababuu wanipelekaaa
Kutakuta wanipeleka
Kukupenda ndo wanipeleka
Kutakuta wanipeleka eeh
Tuachane mdogo mdogo
Na me nikwache mdogo mdodo
Ya nini marambanoo na zogoo
Tuachane mdogo mdodo
Tuachane mdogo mdogo na me
Nikwache mdogo mdodo
Ya nini marambanoo na zogoo
Tuachane mdogo mdodo
Kukupenda ndo sababuu wanipeleka
Kutakuta wanipelekaaa
Kukupenda ndo wanipelekaa
Kutakuta wanipelekaaa eeh
Tuachane mdogo mdogo
Na me nikwache mdogo mdodo
Ya nini marambanoo na zogoo
Tuachane mdogo mdodo
Heheee Emma the boy
Heheee Killing the beat
No no no no huoo
Niliweka malengo nayeee
Ameharibu mwenendo
Penzi kalitia pengoo mh
Simung’unyii sihemi
Classic
Mais de 15 cursos com aulas exclusivas, materiais didáticos e exercícios por R$49,90/mês.
Tenha acesso a benefícios exclusivos no App e no Site
Chega de anúncios
Mais recursos no app do Afinador
Atendimento Prioritário
Aumente seu limite de lista
Ajude a produzir mais conteúdo