Mmm
Ah
Kombo crush
Chinga again
Is konde music worldwide
Eh awo
Chibi
Mungu alonipa ukilema hawezi ninyima mwendo
Na sikupanga imenibidi kulivua pendo
Maana mwanzo nilidhan utabadilika
Of course hakuna aliyekamilika
Saa masiku miaka imekatika
Nachukia kujiona nikilalamika
Bora ugali dagaa kwenye amani
Kuliko wali nyama vitani
Mateso vitimbwi purukushani
Kama unajiona kichwa shingo nani
Mi sipendi dharau
Manyanyaso
Dharau
Masimango
Dharau
Manyanyaso siwez siwez
Dharau
Manyanyaso
Dharau
Masimamango
Dharau
Manyanyaso siwez siwez
Yeah
Mi nilidhurumu nafsi
Kujikirikisha nikiamin mi mtu wa mtu
Kumbe bora ningechuku chuku aaaah kidogo ningefanya utukutu
Moyo ndo ulikupa nafsi
Chakusikitisha nachoambulia maumivu tupu
A bora ningechukuchuku aaah kidogo ama ningewapa wakifanye supu
Kwako nilikuwa nyendo sina
Nikijuaga my destiny
Sina wa kumtunzia heshima
Kama hata we nitashindwa kukuthamini
Ni kweli utakwenda mazima
Japo itakuwa ngumu kuamini
Nitamisi michezo ya mama amina ya kucheza kwa kuburuza ulimi eeih
Mapenzii uliyonipa weee
Wallah mi sikutamani mwingine awe wa kiapo
Mwenzangu umebadilika weeeh aaah japo mi nakupa utakacho
Bora ugali dagaa kwenye amani kuliko wali nyama vitani
Mateso vitimbwi aah ndo mana hatuendi we
Dharau
Manyanyaso
Dharau
Masimango
Dharau
Manyanyaso siwez siwez
Dharau
Manyanyaso
Dharau
Masimango
Dharau
Manyanyaso siwez siwez
Yao yao
Dharaaau
Manyanyaso manyanyaso
Eieh
Konde boi call mi no 1 bakhresa
Mais de 15 cursos com aulas exclusivas, materiais didáticos e exercícios por R$49,90/mês.
Tenha acesso a benefícios exclusivos no App e no Site
Chega de anúncios
Mais recursos no app do Afinador
Atendimento Prioritário
Aumente seu limite de lista
Ajude a produzir mais conteúdo