Iyei, iyei, ye, iyei
Imekua asubuhi
Uwanja wa mapenzi moyoni umechafuka
Nami sitaki
Kufagia upendo uende
Nina jua yangu roho
Ni ndogo ni ndogo hasa ikipenda-e
Ndio maana ukiwa tofauti baby
Unaniumiza ndani ndani (iyee)
Bado najiuliza ni kipi sijatimiza
Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza
Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby
Bado najiuliza ni kipi sijatimiza (haa)
Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza (haa)
Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby (haa)
Hey
Utaniua ua (haaha) hey (haaha)
My baby utaniua ua (haaha) hey (haaha)
Ooh utaniua ua (haaha) hey (haaha)
Ooh baby utaniua ua (haaha) hey (haaha)
Utaniua ua
Nilijichangachanga ilimradi upendeze (ha)
Nikajibanabana ilinisijikweze (ha)
Sikutaka kugombana nikupoteze baby
Ilimradi niwe na wewe
Kibaya zaidi (naumia na upendo wako my love)
Ulisema mpaka kifo mama (ha)
Tungelizikwa wote (tungelifa wote)
Ila unanikatisha tamaa (ha)
Mimi sitaki uende
Bado najiuliza ni kipi sijatimiza
Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza
Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby
Bado najiuliza ni kipi sijatimiza (haa)
Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza (haa)
Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby (haa)
Hey
Utaniua ua (haaha) hey (haaha)
My baby utaniua ua (haaha) hey (haaha)
Ooh utaniua ua (haaha) hey (haaha)
Ooh baby utaniua ua (haaha) hey (haaha)
Utaniua ua
(We mama wee) unaniua ua
(We mama wee) unaniua ua
(We mama wee) unaniua ua
(We mama wee) unaniua ua
Unaniua ua (haaha) hey (haaha)
oh, baby unaniua ua (haaha)
Wewe unaniua ua (haaha) heiyeiye (haaha)
Unaniua ua (haaha) mh-hei (haaha)
Unaniua ua
You love is the one
You love is the one
You love is the one
I want your love
Mais de 15 cursos com aulas exclusivas, materiais didáticos e exercícios por R$49,90/mês.
Tenha acesso a benefícios exclusivos no App e no Site
Chega de anúncios
Mais recursos no app do Afinador
Atendimento Prioritário
Aumente seu limite de lista
Ajude a produzir mais conteúdo