Mapenzi hayana mwenyewe
Unaweza ukapenda kijana au mzee eeh
Niite jina langu baby
Huenda nafsi yangu itapoa aah
Shika moyo wangu baby
Unavyokwenda mbio wewe utapoa haaa!
Kuna muda
Namwomba mungu angekuleta mapema ooh
Ila bado siyo mbaya
Wewe ndo unayejua maumivu yangu hii baby
Ila bado siyo mbaya
Wewe ndo unaejua maumivu yangu
Siipra unitoke machoni iih
Tembea nami ndotoni eeh
Nitakuweka moyoni iih
Bila hofu rohoni hey yeah
Moyo wangu tembea na yule, na yule
Ndo nampendaga
Macho yangu mtazame yule, mtazame yule
Namwamini sana
Ah
Baby, sitaki kutazama nyuma tena
Mmh, maumivu nilishayaona
Wengi walinipotezea muda
Hakuna nilichokipata aah haa
Kuna muda
Namwomba mungu angekuleta mapema
Ila bado sio mbaya
Wewe ndo unayejua maumivu yangu hii baby
Ila bado siyo mbaya
Wewe ndo unaejua maumivu yangu
Siipra unitoke machoni iih
Tembea nami ndotoni eeh
Nitakuweka moyoni iih
Bila hofu rohoni hey yeah
Moyo wangu tembea na yule, na yule
Ndo nampendaga
Macho yangu mtazame yule, mtazame yule
Namwamini sana
Ooh siwezi ukabwe macho yangu
Yatonaimi ndotoni hi
Moyo wangu tembea na yule, na yule
Ndo nampendaga
Macho yangu mtazame yule, mtazame yule
Namwamini sana
Mais de 15 cursos com aulas exclusivas, materiais didáticos e exercícios por R$49,90/mês.
Tenha acesso a benefícios exclusivos no App e no Site
Chega de anúncios
Mais recursos no app do Afinador
Atendimento Prioritário
Aumente seu limite de lista
Ajude a produzir mais conteúdo