It’s another one
Mwaah! Mwaah! Mwaah!
Baby me na we nganganga
Usije ukaenda kwa mganga
DJ embu piga charanga tuchezee
Wanauliza maswali
Tuwajibu kwa vitendo
Waambie ee wajue
Me kwako nishatia nangaaa
Fumba macho usije danga, utaniumiza roho
Nikila korosho kula karanga, tuzimeze ooh
Usiniache nitatanga tanga, Yatima ooh
Unionyeshe aliyekufunza nyakanga, kitandani njoo
Nimeona wengi sana
Wazuri sana
Ila kwako nimekwama
Sijateleza kukuchagua
Nichochee, nichochee
Kama moto unichochee
Kwatu
Roho yangu kwatu
Kuwa na wewe
Kwatu kwatu kwatu
Roho yangu kwatu
Roho yangu kwatu
Kuwa na wewe
Kwatu kwatu kwatu
Roho yangu
Ukiwa mbali mwili wote unapooza
Nahisi kama nimekufa na tayari nishaoza
Chai sukari, mupenzi hebu koleza
Usije ukakurupuka ukaja niacha kwa jeneza
Familia yangu iko polisi inakutafuta wewe
Nasikia unabonge la kesi lakuniteka mie
Ooh lololololo ooh
La kuniteka mie eeh eeh
Aah aahh
Wambie wajue
Mi kwako nishatia nangaa
Nimeona wengi sana
Wazuri sana
Ila kwako nimekwama
Sijateleza kukuchagua
Nichochee, nichochee
Kama moto unichochee
Vunja mifupa kama meno ipoo
Kwatu
Roho yangu kwatuu
Kua na wewe
Kwatu kwatu kwatu
Roho yangu kwatu
Roho yangu kwatu
Kua na wewe (nakupenda nakupenda)
Kwatu kwatu kwatu
Roho yangu
Nikishika kiuno, unishika mabega (ayayaa)
Utakapo nigusa kokote mwenzako nalegea (ayayaaa)
Baby humo humo uliponishikia (ayaya)
Uking'olewa meno mwenzako navimba mdomo pia (ayayayaya)
Wambie wajue mi kwako nishatia nanga
Mais de 15 cursos com aulas exclusivas, materiais didáticos e exercícios por R$49,90/mês.
Tenha acesso a benefícios exclusivos no App e no Site
Chega de anúncios
Mais recursos no app do Afinador
Atendimento Prioritário
Aumente seu limite de lista
Ajude a produzir mais conteúdo
Enquanto isso, fique por dentro das novidades!
Facebook CifraClub