La, la, la, la, la
Pole pole baby wangu
Uchungu ndo umekushika eeh!
Basi pole mpenzi wangu
Twende lebe ukajifungue
Linanitoka chozi langu
Kuona unapiga kelele
Mi namuaomba baba Mungu
Salama uweze ujifungue
Umenikumbuska mbali sana (sana aah)
Nimemkumbuka mama (mama aah)
Kumbe alipata tabu sana (sana aah)
Kunizaa mwana (mwana)
Subira nilisubiri kakupata wewe
Nilivyokupata kakupa mimba ili unizalie
Na leo nasubiri unitolee
Jikaze nu mpenzi mungu yuko na wewe akusimamie eeh!
Totoa totoa mama
A shamba ashanipa mimi
Totoa totoa mama
Nasubiri kuvuna
Totoa totoa mama
Mwendo mwangu my dear
Totoa totoa mama
Oh! Mungu alonijalia
Ukijifungua dume ntachinja jogo
Ukijifungua jike ntalichinja koo
Ukiniletea mapachaa ntachinja kondoo
Ila hata ukikosa mi bado ni wako
Uhm!
Kapambane na matusi
Wanayotoa manesi
Wewe usiwe mbishi
Jikaze, eeh!
Tena uwape nafasi
Huduma upate kasi
Baby usie mbishi jikaze
Umenikumbusha mbali sana (sana aah!)
Nimemkumbuka mama (mama aah!)
Kumbe alipata tabu sana (sana aah!)
Kunizaa mwana (mwana aah!)
Subira nilisubiri nkakupata wewe
Nilivyokupata nkakupa mimba ili unizalie
Na leo nasubiri unitotole
Jikaze mpenzi mungu yuko na wewe
Akusi mamie eeh!
Totoa totoa mama
A shamba ashanipa mimi
Totoa totoa mama
Nasubiri kuvuna
Totoa totoa mama
Mwendo mwangu my dear
Totoa totoa mama
Oh! Mungu alonijalia
Totoa totoa mama
Huenda akawa moza wangu
Totoa totoa mama
Ama isiaa ka
Totoa totoa mama
Totoa mama
Huenda akawa chambuso
Totoa totoa mama
Huenda akawa sheko
Iye yeye yeye yeyeyeyeyeyeh
Uhoo wowo wowo wo wooh
Totoa mama, totoa
Totoa mama toto ooh
Oohoo, eh!
Mais de 15 cursos com aulas exclusivas, materiais didáticos e exercícios por R$49,90/mês.
Tenha acesso a benefícios exclusivos no App e no Site
Chega de anúncios
Mais recursos no app do Afinador
Atendimento Prioritário
Aumente seu limite de lista
Ajude a produzir mais conteúdo